Loading...

Terms & Privacy Policy

Terms

TERMS OF SERVICE – tzboost

Kwa kuweka order kwenye tzboost, unakubali masharti yote yaliyoorodheshwa hapa chini:

1. Service Disclaimer
tzboost haihusiki wala haiwakilishi Instagram, TikTok, YouTube au mtandao wowote wa kijamii. Tunatoa huduma za promotion pekee. Hatuwezi kuhakikishia kuwa followers, likes au views wote watafanya interaction (engagement).

2. Usalama wa Akaunti
tzboost haitaji password ya akaunti yako. Akaunti yako iko salama. Hata hivyo, ni wajibu wa mtumiaji kuhakikisha akaunti au post ipo PUBLIC wakati order inaendelea.

3. Refund Policy
• Hakuna refund itakayorudishwa kwenye njia ya malipo (M-Pesa, Benki, n.k) baada ya kufanya deposit.
• Salio lililowekwa litabaki kwenye tzboost Wallet na litatumika kwa kuagiza huduma.
• Kama order itakuwa “Failed” au “Dropped”, fedha zitarudishwa moja kwa moja kwenye tzboost Wallet.
• Hakuna refund kwa order zilizowekwa kwenye akaunti PRIVATE au kwa kutumia link/username isiyo sahihi.

4. Double Orders
Hairuhusiwi kuweka order zaidi ya moja kwa link au akaunti ileile kwa wakati mmoja. Tafadhali subiri order ya kwanza ikamilike.

5. Mabadiliko ya Bei
Bei za huduma zinaweza kubadilika wakati wowote bila taarifa ya awali.

TAARIFA MUHIMU:
Hakikisha unasoma maelezo ya kila huduma (Service Description) kabla ya kununua ili kujua kama huduma ina “Refill” au haina.

Privacy Policy

PRIVACY POLICY – tzboost

Faragha yako ni muhimu kwetu. Hii ndiyo namna tzboost inavyokusanya na kutumia taarifa zako:

1. Taarifa Tunazokusanya
Tunakusanya taarifa kama Username, Email, na namba ya WhatsApp wakati wa usajili.

2. Matumizi ya Taarifa
Taarifa zako zinatumika kwa:
• Kusimamia akaunti yako
• Kuchakata orders zako
• Kukutumia taarifa muhimu za huduma na support

3. Usalama wa Taarifa
Tunatumia mifumo ya usalama (encryption) kulinda taarifa zako. Hatutoi wala hatuuzi taarifa zako kwa mtu au kampuni nyingine.

4. Usalama wa Malipo
tzboost haihifadhi taarifa za kadi, M-Pesa PIN, au benki. Malipo yote hushughulikiwa na mifumo salama ya malipo ya nje.

5. Cookies
Tunatumia cookies kukuwezesha kubaki logged in na kukumbuka mipangilio yako kama vile currency unayotumia.

Kwa kutumia tovuti ya tzboost, unakubali sera hii ya faragha.