Karibu tzboost (Cookie Policy)
tzboost inapenda kukupa huduma bora zaidi. Ili tovuti yetu ifanye kazi vizuri na kwa usalama, tunatumia cookies kwa malengo yafuatayo:
- Login:
Kukuwezesha kubaki kwenye akaunti yako bila kuingiza password kila unapofungua ukurasa mpya.
- Usalama (Security):
Kulinda akaunti yako na kuzuia matumizi yasiyoidhinishwa.
- Mipangilio (Preferences):
Kukumbuka mipangilio yako kama vile lugha au aina ya fedha (currency) unayotumia.
Je, unaweza kuzizima cookies?
Ndiyo, unaweza kudhibiti au kuzima cookies kupitia mipangilio ya browser yako (mf. Chrome, Safari, n.k). Hata hivyo, tafadhali kumbuka kuwa kuzima cookies kunaweza kusababisha baadhi ya huduma za tovuti kutofanya kazi vizuri.
Kwa kuendelea kutumia tovuti ya tzboost, unakubali matumizi ya cookies kulingana na sera hii.